HAPPY BIRTHDAY MWANZILISHI WA MALUNDE1 BLOG, KADAMA MALUNDE



 Mwanzilishi wa Mtandao wa Malunde1 blog, Fahari ya Shinyanga (www.malunde.com) ndugu Kadama Malunde leo Januari 08,2017 anaadhimisha siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake. 

Kadama Malunde alizaliwa miaka kadhaa iliyopita katika kijiji cha Zobogo Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga.

Mbali na kuanzisha mtandao wa Malunde1 blog mnamo mwaka 2012 ambao anauendesha mpaka sasa, Kadama Malunde pia ni mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga(Shinyanga Press Club- SPC) tangu mwaka 2015.
Kadama Malunde



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post