MALUNDE 1 BLOG YATIMIZA MIAKA MINNE TANGU KUANZISHWA KWAKE

Malunde1 blog leo Oktoba 08,2016 inatimiza umri wa miaka minne tangu kuanzishwa kwake tarehe 08.10.2012.


Mwanzilishi: Kadama Malunde

Mmiliki: Kadama Malunde

Jina la blog: Malunde1 blog, Fahari ya Shinyanga

Anuani: malunde.com

Application katika Play store : Malunde

Uanachama: Tanzania Bloggers Network (TBN)

Lengo: Kuchapisha habari za ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga.

Mgawanyo  wa   Machapisho: Habari,Shinyanga,Matukio,Siasa,Matangazo,Mapenzi,Magazeti,Burudani,Michezo Nyimbo za asili

Upekee: Habari za Shinyanga kila siku na Nyimbo za asili kila Weekend

Waendeshaji: Waandishi wa habari

Eneo: Dunia nzima

Mawasiliano: Simu/Whatsapp +255757478553 au 0625918527

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post