VIDEO: TUKIO LA KUPATWA KWA JUA LEO HUKO MBALALI - MBEYA
Thursday, September 01, 2016
Moja ya matukio yaliochukua headline leo September 1 ,2016 ni pamoja na tukio la kupatwa kwa jua lililotokea katika Kijiji cha Rujewa, Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya ambapo lilianza majira ya saa 4: 20 hadi saa 7:25 za machana ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi wa kawaida walijitokeza kushuhudia tukio hilo.
Kitu kingine nikwamba unaambiwa wanataaluma wa anga kutoka duniani kote pamoja na wanasayansi, wanafunzi pamoja na jamii ya Tanzania walikuwa Rujewa, kusini mwa Tanzania, kushuhudia duara la Jua linavyobadilika kuwa mithili ya pete.
Tazama video ikionyesha hali ilivyokuwa na maelezo ya mtaalamu …
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin