Makubwa Haya!! MCHUNGAJI WA KANISA AJIUA BAADA YA KUTUMA "PICHA YA UUME" WAKE KWENYE GROUP LA WHATSAPP LA KANISA

Mchungaji mmoja wa Kanisa la Kilokole nchini Afrika Kusini ambaye ambaye ameoa, amejiua baada ya kutuma picha ya uume wake kwenye group la kanisa kwa bahati mbaya akisema "baby leo wife hayupo hiyo ni yako leo"

 
Aliongeza maneno haya kwenye hiyo  picha juu. Sijui alikuwa anaunguruma sana hadi baby wake akazimikia sauti!

Mwanamke huyo inasemekana ni mmoja wa waumini wa kanisani kwake. 

Alijaribu kuidelete haraka haraka kabla haijaenda lakini ilishindikana,akaona bora afe kuliko aibu aliyoipata.


Kabla ya kujiua alijiondoa kwenye group (alileft group) na akazima simu ili asitafutwe na waliokuwa wanamtafuta. 
Baada ya siku mbili wakakuta kajiua.

SOMA HAPA ZAIDI
Limpopo Pastor has committed suicide after he sent pictures of his penis to his church Whatsapp Group. Pastor Letsego of Christ Embassy who is married thought he was sending the picture to his lover, who happens to be a member of the same church.

To make matters worse he even went on to caption it “wife is away,its all yours tonight”.

He then realised his mistake after having hit the send button with congregants expressing shock and outrage over the mishap.The Pastor is alleged to have immediately exited the group and stopped answering his calls.

He was found 24 hours later hanging in his rented church house.

“Pastor’s antics have always been a cause for concern,he was always seen in the company of one of the deacons named Miriam and we suspected there was more to their friendship than meets the eye.

“Quizzed by his wife and congregants,he would shrug off the allegations and say as a Pastor he was a father to everyone and Miriam was his favourite Daughter,”said one of pastor Lesego’s congregants who refused to be named.

Efforts to get a comment from Christ Embassy Officials were fruitless at the time of going to print.
SOMA ZAIDI <<HAPA>> 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527