KAKA,DADA WAPIGANA KISA KELELE ZA DADA WAKATI AKIHONDOMOLA TENDO LA NDOA NA MMEWE
Wednesday, September 14, 2016
Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar es salaam, amekutana na stori ya dada na kaka waliopigana kisa kikiwa ni Kaka kudai dada yake akiwa na mumewe chumbani wamekuwa wakitoa kelele za mapenzi.
Ndugu hao wawili wanaishi nyumba moja waliyoachiwa na baba yao mzazi ambaye ni marehemu. Familia hiyo imeingia kwenye ugomvi baada ya dada kuolewa na kuendelea kuishi kwenye nyumba hiyo na mumewe.
>>>’Mfano wewe mtoto wako kaolewa na mwanaume inabidi akae pale au aende katika mji wake…?’:- kaka
>>Nimekaa hapa tangu baba yangu akiwa hai, huyu mimi namfunga, mi nipige kelele kwani sina akili? Baba angu mzazi ndiye alitakiwa kusema kama alikuwa anakereka!!! na hivi naenda zangu polisi.”;-Dada
Unaweza kusikiliza full stori kwa kubonyeza Play hapa chini.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin