Rais Magufuli Kamhamisha DC na Kumteua DC MwingineJuly 7 2016 tumesogezewa taafa kutoka Ikulu Dar es salaam ambapo Rais John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mpya kwa kamteua Deogratius Ndejembi kuwa mkuu wa wilaya ya Kongwe na kumhamisha John Palingo kwenda wilaya ya Mbozi, baada ya aliyeteuliwa kuwa DC wa Mbozi Ally Maswanya kuomba uteuzi wake utenguliwe.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post