Nay wa Mitego Azungumza Kuhusu Kufungiwa Kwa Wimbo Wake wa "Pale Kati"



Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI.

Sasa Julai 22,2016 ameongea kuhusu kufungiwa kwa wimbo wake na kusema…>>>>>’Ni kweli nimezipata taarifa za kufungiwa kwa wimbo wangu lakini nafikiri haya ni mambo ya kisheria kwa sasa hivi mimi sina cha kuongea maana kwa upande wangu sidhani kama kuna sababu za msingi za kufungiwa kwa wimbo wangu’- Nay Mitego

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post