Tazama Video Mpya ya Msanii wa Nyimbo za Asili "Marley Jay" Kutoka Ushirombo-Inaitwa "Kuhangaika"
Tuesday, June 28, 2016
Malunde1 blog ni kisiwa cha nyimbo za asili,leo nakukutanisha na msanii wa nyimbo za asili Marley Jay kutoka Ushirombo mkoani Geita..wimbo unaitwa Kuhangaika..ni wimbo mzuri ameimbwa kwa lugha ya Kisukuma na Kiswahili..Tazama Video hii kali hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin