Maajabu Tanga! Angalia Picha Mti wa Muembe Unaobadilika na Kuwa na Sura ya Mwalimu Nyerere na Mama Maria NyerereMti wa ajabu aina ya Muembe umewavuta mamia ya wakazi wa Tengamano Jijini Tanga kuushuhudia ambapo inadaiwa kuwa mwembe huo ikifika majira ya jioni hubadilika na kuwa na taswira ya mwalimu Nyerere kwa upande mmoja na Mama Maria Nyerere kwa upande wa pili.

Tukio hilo limesemekana lilianza kujitokeza June 6 2016. "Ni kama muujiza fulani sio kwamba jambo hili liliwahi kujitokeza, hapa nilipo ndio naona hali halisi ya huu mwembe, ni kama mtu alijaribu kuuchonga"- Anasimulia shuhuda wa Tukio hilo Awadhi Ally

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post