Leo Mei 30,2016 Malunde1 blog inakutambulishia rasmi album mpya 2016 ya msanii maarufu wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya kabila la Kisukuma maarufu sana katika kanda ya Ziwa, Tanzania/Afrika Mashariki. Bhudagala Mwanamalonja anatoka Serengeti mkoa wa Mara.Albamu yake mpya inaitwa "Kishimbe".Ninao hapa wimbo unaobeba jina la Albamu unaitwa Kishimbe..Tazama Hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin