Tazama Hapa Video ya Msanii wa Nyimbo za Asili,Yaleo Kali,Inaitwa Nejile,Kaimba kwa Lugha ya KijitaWimbo Unaitwa Nejile Kutoka Kwa Msanii wa Nyimbo za asili Yaleo Kali anayeimba kwa Lugha ya Kijita na Kiswahili.Yaleo Kali Amezaliwa Huko Ukerewe mkoani Mwanza akakulia Musoma mkoani Mara na sasa anaishi Sengerema mkoani Mwanza.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post