Angalia Picha! Mazishi Ya Mtoto Wa Issa Michuzi Maggid Muhidini Michuzi


Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18) yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana.


Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba akimpa pole Issa Michuzi.

Rais Mstaa mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akiagana na Issa Michuzi.

Issa Michuzi (mwenye kofia) akifuatiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete (kulia kwake) na viongozi wengine wa serikali wakati maziko.Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi akiweka udongo

Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na baba wa marehemu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post