Angalia Picha!! Ajali ya Basi la Mwendo Kasi Jijini Dar es salaam Wakati Gari Dogo Likikatisha

Basi jingine la mwendo kasi limepata ajali eneo la Magomeni Usalama. Ni baada ya gari dogo kukatisha kwenye barabara ya magari ya mwendo kasi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post