WENJE ASHINDA KESI YA PINGAMIZI UBUNGE WA MABULA MWANZA...HII NDIYO KAULI YA GODBLESS LEMA

Mara tu ya Taarifa kusambaa kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Mwanza Ezekiel Wenje ameshinda pingamizi lililowekwa na Mbunge Mabula kesi ya uchaguzi Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Facebook:


"Hongera Ezekia Wenje kwa kushinda pingamizi lilowekwa na Mabula kwenye kesi yako ya Uchaguzi ni hatua kubwa ya kurudi bungeni na kuwatumikia wana Mwanza" Godbless Lema


Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje(pichani) ameshinda pingamizi aliyowekewa na mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula


Kesi ya msingi itaanza kusilizwa tarehe 6|03|2016.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post