MATOKEO YA MECHI NNE ZILIZOCHEZWA MACHI 19,2016Kwenye game ambazo zimechezwa jana kwenye ardhi ya Tanzania Full Time ya Coastal Union vs Simba SC ilikuwa 0-2 wakati Stand United vs Ndanda ilikuwa 1-1 na Majimaji FC vs Mbeya City ilikuwa 3-1 na game ya Yanga vs APR ya Rwanda ikawa 1-1.

Yanga ambao wanaiwakilisha Tanzania bara kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika wamesogea kwenye round inayofata baada ya ushindi wao dhidi ya APR (Aggregate 3-2)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post