KUTANA NA MREMBO HUYU ANAYEISHI NA SIMBA,ANACHEZA NAO NA KUWABUSU KABISA,VIDEO IKO HAPATunajua kuna ile list ya Wanyama wakali duniani ambao Binadamu hawatakiwi kujisogeza au kucheza nao…. na ukisikia kuna Simba kaonekana mtaani najua hautotoka nje ila yeye huyu Mrembo kwenye Hifadhi binafsi ya Wanyama hana neno na Simba aliokaa nao toka wadogo, wala hawana neno nae.. 
mtazame kwenye hii video hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post