HIZI NDIYO SABABU 5 KWANINI JOSE MOURINHO HAJATANGAZWA KUWA KOCHA WA MAN UNITED HADI SASAHeadlines za kocha wa klabu ya Man United Louis van Gaal kuhusishwa kutaka kufukuzwa na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho, March 22 wataalam wa mambo wametaja sababu 5 kwa nini Jose Mourinho hajatangazwa kuwa kocha wa Man United hadi sasa.


1- Hadi sasa bodi ya wakurugenzi ya Man United inatajwa kuwa na mvutano juu ya maamuzi ya kuingia mkataba na Mourinho au la ila tabia yake ya utata imefanya kusita kufanya maamuzi hayo hadi sasa.

2- Sababu ya pili Man United huwa na utamaduni wa kuwapa nafasi wachezaji makinda kama Marcus Rashford, hivyo wanahofia kumpa timu Mourinho kwani huenda akawapotez makinda hao kutokana na tabia yake ya kupenda wachezaji walio komaa.

Unaweza malizia sababu 3 kwa kubonyeza play hapa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post