ANGALIA PICHA ZA MKUTANO WA CHADEMA JIJINI MWANZA KUMTAMBULISHA KATIBU MKUU MPYA DR MASHINJIKatibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji, jana alitambulishwa rrasmi kwa wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa furahisha.Viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chadema pamoja na baadhi ya Wabunge kutoka Chadema walikuwepo kuushuhudia utambulisho huo wa Katibu Mkuu wao kwa wananchi.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post