Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho mkoani Songea
Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo leo asubuhi
Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), wakiwa sehemu ya mapokezi, tayari kwa kupata huduma
Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwafariji wagonjwa hospitalini hapo
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527