Video Mpya!! MSANII WA NYIMBO ZA KISUKUMA KISINZA -Wimbo unaitwa NITUNGE


Kama kawaida ya mtandao huu wa Malunde1 blog kukusogeza karibu na wasanii wa nyimbo za asili kupitia kipengele chetu cha Nyimbo za Asili..leo namkaribisha msanii Kizinza na video yake mpya inaitwa "Nitunge"..angalia hapa chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post