Makubwa Haya!! BINTI AFARIKI BAADA YA KULA MCHANGA WA KABURI...ALIAMBIWA NA MCHUNGAJI WA KANISA
Thursday, December 03, 2015
KENYA: Binti mmoja amefariki dunia baada ya kula mchanga wa kaburi Mhubiri alimshauri ale mchanga huo kwa madai kuwa ana mizimu Inasemekana baada ya kunyweshwa dawa, ndivyo hali ya afya ya msichana huyo ilivyozidi kuwa mbaya hadi akapoteza fahamu. Hata hivyo mhubiri mwenyewe amejitetea akisema huenda ilitokana na familia ya marehemu kutokuwa na Imani na maombi yake ya uponyaji.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin