GARI LA HALMASHAURI LAUA HUKO KAHAMA, KAMANDA WA POLISI MKOA WA SHINYANGA AZUNGUMZA
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Mika Nyange akizungumzia kuhusu tukio la mwendesha pikipiki aliyefahamika kwa jila la Philipo Mzava(28) mkazi wa Imbambara shule ya Msingi wilayani Kahama mkoani Shinyanga aliyefariki dunia baada ya kugongwa na gari la halmashauri ya wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga.Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari ofisini kwake amesema tukio hilo limetokea Desemba 22,2015 saa nne usiku katika barabara ya Kahama kuelekea Ulowa,eneo la kijiji na kata ya Kisuke tarafa ya Dakama wilayani Kahama.Soma taarifa kamili hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527