ANGALIA PICHA UONE JINSI LOWASSA ALIVYONASWA AKICHUNGA NG'OMBE PORINI
Anonymous-
Aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa mwavuli wa UKAWA ndugu Edward Lowasa akichunga ng'ombe eake huko Handeni mkoani Tanga. Lowassa yuko mapumzikoni na familia yake katika shamba lake la mifugo lililopo eneo la Mzeri,Handeni mkoani Tanga
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527