Kama ingekuwa ni show ya comedy tungesema sawa, jamaa wako location.. au ingekuwa movie pia isingekuwa story kwa sababu jamaa yuko kwenye kazi yake !!
Sio movie wala comedy, jamaa mmoja amejikuta akibeba headlines kwenye mtandao wa youtube, watu wanagonga likes na kushare na watu wao kipande cha video kinachomuonesha yuko ndani ya treni ya abiria London Uingereza, busy kabisa na mswaki wake huku akisoma gazeti.
Unaambiwa baada ya jamaa kushuka, kila mtu alijikuta akiangua kicheko huku mwenyewe akiendelea na mambo yake mtaani bila kujali lolote.
Video yake hii hapa, jamaa wa pembeni alimrekodi kwa simu ya mkononi.
Social Plugin