VIDEO_RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Thursday, November 05, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa
rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia
tiketi ya chama cha upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna tofauti za kisiasa kisiwani
Zanzibar baada ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi
uliofanyika .
Video
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin