Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI NOMAA!! AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA AKITEMBEA KWA MIGUU JIJINI DAR ES SALAAM







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Pombe Magufuli akisani kitabu cha wageni baada ya kufika Wizara ya Fedha.



...Akikagua utendaji kazi wa wafanyakazi mbali mbali wizarani hapo.



Akitembea kwa miguu na maofisa usalama kuelekea Wizara ya Fedha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu hadi katika Wizara ya Fedha na kukagua utendaji kazi wa wafanyakazi wa ofisi hizo, hata hivyo alikuta baadhi ya maofisa wakiwa nje ya ofisi zao.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com