News Alert!! JOB NDUGAI NDIYO MGOMBEA RASMI WA USPIKA WA BUNGE KUPITIA CCM
Monday, November 16, 2015
Mh. Job Ndugai ameteuliwa kuwa mgombea rasmi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM). Wabunge wateule wa CCM wamempitisha Job Ndugai kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya wenzake wawili kujitoa.
Via>>EATV
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin