Duh! Hii Kali!! MAJAMBAZI WAVAMIA MUUZA DUKA,WAPIGA RISASI NA KUPORA MKATE...WALIDHANI FURUSHI LA PESA
Monday, November 09, 2015
Ni tukio ambalo lilitokea Moshi Kilimanjaro ambapo Majambazi wawili wakiwa na Pikipiki walimvamia muuza duka Beatrice wakati akirudi nyumbani usiku wakiamini amebeba pesa kwenye mfuko, stori zaidi bonyeza play kwenye hii video.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin