SHUHUDIA HAPA MAZISHI YA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE...SIMANZI YATAWALA LUDEWA
Monday, October 19, 2015
Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe aliyefariki kwa ajali ya chopa umezikwa jimboni kwake huku viongozi mbalimbali,wapiga kura wake na watu mbalimbali wenye mapenzi mema wakihudhuria mazishi yake.
>>>SOMA HAPA HABARI KAMILI NA UONE PICHA NYINGI ZAIDI
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin