ANGALIA PICHA ZA MKUTANO WA LOWASSA HUKO TUNDUMA





Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Freeman Mbowe wakiongea na wananchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma






Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja shule ya msingi Tunduma kwa ajili ya mkutano wa kampeni huku akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA na UKAWA,akiwemo mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru,Jumatatu 19/10/2015



Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongea na wananchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma




Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma katika mjini wa Tunduma mkoani Mbeya


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post