ZIKO HAPA SABABU 10 KWANINI NYWELE ZAKO ZINANYONYOKA NA KUJIKUTA UNA KIPARA


Kama umegundua nywele zako zinanyonyoka, usi-panic. Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ).
Zifutazo ni sababu kwa nini nywele zako zinanyonyoka. 

1. Stress
Kila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. . Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako. Emotional stress hazisababishi kunyonyoka kwa nywele lakini inaweza kutokea pale unapokuwa katika wakati mgumu kisaikolojia kama vile kumpoteza mtu wako wa karibu kutokana na kifo au kuachwa kimapenzi. Hata hivyo,. Baada ya wakati huo mgumu, nywele zako zitaanza kuota tena baada ya miezi sita.


2. Homoni

Kunyonyoka kwa nywele kunaweza kuwatokea wanawake w alio katika menopause kutokana na kuadilika kwa viwango vya homoni. Inaweza kutokea pia kwa wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango hususani wanapokuwa wana ahirisha mara kwa mara zoezi la kutumia vidonge hivyo. Unashauriwa kama unatumia vidonge kwa uzazi wa mpango, basi hakikisha unazingatia ratiba na usiahirishe hata mara moja.

3. Ukosefu wa Protini au Hamirojo


Ukosefu wa protini unaweza kudhoofisha ukuaji wa nywele au kusababisha kunyonyoka kwa nywele kabisa na hatimaye kuwa na kipara kabisa.


4. Ujauzito


Ujauzito ni miongoni mwa mambo yanayo leta physical stresses and there are also na pia huleta mabadiliko ya homoni. Kunyonyoka kwa nywele hutokea baada ya kujifungua.
5. Kurithi
If any of your parents at some time started to lose hair, it is very possible for the same thing to happen to you.
Kama mmoja kati ya wazazi wako au babu zako wa upande wa baba au mama aliwahi kuwa na tatizo la kunyonyoka nywele au kuwa na kipara kabisa, basi kuna uwezekano mkubwa sana kwa jambo hilo kutokea kwako pia kwa sababu za urithi. Hakuna maelezo yoyote ya kitabu kuhusu jinsi ya kukinga suala hili , hata hivyo unaweza kujaribu kutumia vyakula na dawa mbalimbali bila kujali sababu iliyo fanya unyonyoke nywele au kuwa na kipara.


6. Vinasaba vya kiume


Tafiti mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa, wanaume wengi wana anza kuonyesha dalili za kunyonyoka mwele wakiwa na umri wa kuanzia miaka sitini ( 60) na kuendelea. So kama wewe ni mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea na nywele zako zimeanza kuonyesha dalili za kunyonyoka, huna haja ya kupanic wala kutafuta tiba, kwani suala hilo ni la kawaida kabisa kwa wanaume wenye umri wako.


7. Anemia


Anemia husababishwa na ukosefu wa madini ya chuma katika damu. Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili (anemia ). Hata hivyo, ili kupambana na tatizo hili unachotaiwa kufanya ni kuzingatia matumizi ya vyakula vyenye madini ya chuma katika mlo wako.


8. Matumizi ya vitamin A kupita kiasi.


Malimbikizo ya vitamin A mwilini husababisha kunyonyoka kwa nywele. Hata hivyo kunyonyoka kwa nywele kunako sababishwa na malimbikizo ya vitamin A mwilini huwa ni kwa muda tu. Nywele zako zitarejea katika hali yake ya kawaidautakapo punguza matumizi ya vyakula vyenye vitamin A kwa wingi kupita kiasi kwa sababu mwili wako utaweza kubalance vitamin zote mwilini.


9. Kupunguza uzito kwa haraka.


Kupungua uzito kwa haraka kunaweza kukufurahisha. Lakini hata hivyo, hii inaweza kukusababishia kunyonyoka kwa nywele kutokana na stress zilizo sababishwa katika mwili wako.


10. Matatizo kwenye tezi aina ya thyroid ( Thyroid Gland )


Thyroid gland ina husika na michakato mbalimbali katika mwili wa mwanadamuikiwemo ukuaji wa nywele. Kama tezi hii haizalishi homoni za kutosha, inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ukiwa katika situation hii, unashauriwa kumuona daktari kwa ushauri zaidi. 

DAWA ASILIA YA KUTIBU TATIZO LA UPARA NA KUKATIKA KWA NYWELE.


Tunayo dawa nzuri ya asili, ambayo hutibu kipara pamoja na tatizo la ku katika katika kwa nywele. Dawa hii asilia isiyo na kemikali yoyote, mbali na kutibu na kumaliza kabisa tatizo la kipara na kukatika katika kwa nywele, pia inasaidia kurefusha nywele pamoja na kuimarisha afya ya nywele.


DOZI YA DAWA : Dozi kamili ya dawa hii hutumika kwa muda wa siku tisini mfululizo.
Dozi ya kwanza hutumika kwa siku thelathini, dozi ya pili hutumika kwa siku thelathini na dozi ya tatu hutumika kwa siku thelathini. Jumla ni siku tisini.

BEI YA DAWA: DOZI YA DAWA HII, INAUZWA KWA SHILINGI ELFU THEMANINI (Tshs.80,0000) TU KWA KILA DOZI. 

JINSI YA KUIPATA DAWA HII: DAWA HII INAPATIKANA KATIKA DUKA LA KUUZA DAWA ASILIA LA NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC LILILOPO JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA ENEO LA TABATA MAKOKA KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKATIFU ANNUARITE.
Kwa wasio weza kufika ofisini kwetu, tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo
( DELIVERY )
Kwa wateja wa Zanzibar, tunawatumia dawa kwa kutumia usafiri wa boti. Kwa wateja wa mikoani, tunawatumia dawa kwa njia ya usafiri wa mabasi na kwa wateja waliopo ughaibuni, tunawatumia dawa kwa njia ya POSTA au DHL.


Kwa mahitaji ya dawa hii wasiliana nasi kwa simu 0766538384.
Na kwa taarifa zaidi, kuhusu huduma zetu nyinginezo, endelea kutembelea:
www.neemaherbalist.blogspot.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post