HII HAPA ORODHA YA NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MATUKIO YA UBAKAJI DUNIANI



Bado matukio ya ubakaji yameendelea kushika kasi katika nchi mbalimbali duniani licha ya kuwepo kwa sheria za kuwabana wahusika.

Hapa kuna hizi nchi 10 ambazo zinaongoza kwa matukio ya ubakaji duniani.

1. Afrika Kusini


Afrika ya Kusini ndio nchi yenye idadi kubwa ya kesi za ubakaji duniani wanazofanyiwa watoto wa dogo..mwaka 2000 jumla ya kesi 67,000 ziliripotiwa.

2. Botswana


Nchi ya Botswana inashika nafasi ya pili kwa matukio ya ubakaji..mwaka 2011, 10.3% ya wanawake zaidi ya 600 walifanyiwa vitendo vya ubakaji

3. Lesoth


33% ya wanawake walibakwa wakiwa na umri wa miaka 18 huku kukiwa na 66% ya kesi za ubakaji kila mwaka

4. Swaziland


Kasi ya ubakaji kwa wasichana chini ya miaka 18 imekuwa ikiongezeka..Ripoti ya UNICEF imesema msichana mmoja kati ya watatu hubakwa na kuchangia uwepo wa maambukizi ya VVU kwa wingi

5. Bermuda (Uingereza)


Nchi hii ipo mpakani mwa Uingereza..imekua na matukio mengi ya ubakaji hadi kupelekea wanawake kutengewa sehemu yao kuepuka vitendo hivyo

6. Sweeden


Tangu mwaka 2005matukio ya ubakaji yamekua yakitokea na hayabadiliki licha ya kupitishwa sheria kali

7. Suriname (America ya Kusini)


Matukio mengi ya ubakaji katika nchi hii iliyopo Amerika ya kusini yamekuwa hayaripotiwi licha ya kutokea mara kwa mara..lakini yamekua yakipungua kadri siku zainavyokwenda

8. Costa Rica


Tangu mwaka 2000 matukio ya ubakaji yamekuwa yakiongezeka na kufikia 42% ya kesi hizo kila mwaka.

9. Nicaragua (America ya Kaskazini)


Hiki ni moja ya visiwa masikini duniani lakini kinaongoza kwa matukio ya ubakaji kwa asilimia kubwa..

10. Crenada (America ya Kaskazini)


Kila anayepatikana na kosa la ubakaji katika nchi hii adhabu yake ni miaka 15 jela

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527