ANGALIA PICHA MHESHIMIWA LOWASSA AKIKABIDHIWA KADI YA CHADEMA BAADA YA KUIMWAGA CCMMheshimiwa Edward Lowassa leo Jumanne 28/07/2015 akiambatana na familia yake, katika mkutano na waandishi wa habari na wanachama wa Chadema, katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam ametangaza rasmi kuhamia Ukawa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post