PICHA YA RAIS AKISINZIA KWENYE SHEREHE YA SERIKALI YAZUA BALAA
Sio picha ya kwanza kutoka ikimuonesha Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akiwa amesinzia kwenye matukio mbalimbali makubwa.. safari hii kapigwa tena picha akiwa amesinzia wakati wa sherehe za kuapishwa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari.

Waziri wa Mawasiliano Zimbabwe, Prof. Jonathan Moyo kaingia kwenye ukurasa wake @Twitter na kupost Tweets zilizoonesha hajaipenda hii !!Sahara Reporters wanalaumiwa moja kwa moja kwa kupiga picha hiyo na kuisambaza mitandaoni.

Hapa nina picha ambazo waliwahi kupigwa viongozi wengine wakubwa baada ya kukutwa wamesinzia.


Abdurrahman Wahid, picha hii ilipigwa wakati huo alikuwa Rais wa IndonesiaNaoto Kan, aliwahi kuwa Waziri Mkuu Japan na Waziri wa Fedha vilevile

Via>>Millardayo.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post