LOWASSA AMPONZA DR MENGI,ATUKANWA KISA ITV KURUSHA MATANGAZO YA LOWASSA

Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Reginald Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.

Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?


MBINU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post