KUHUSU MSAFARA WA MTANGAZA NIA YA URAIS MAKONGORO NYERERE KUPATA AJALI,PICHA ZIKO HAPA

20150606040816
Headlines kwenye Magazeti leo nyingi zina stori kuhusu Wagombea wa Urais kwa makada wa CCM wameingia kwenye hatua nyingine ya kupita mikoani kwa ajili ya kutafuta wadhamini wao, Makongoro Nyerere ni mmoja wa Wagombea hao ambaYe stori zilizoenea mitandaoni  zinahusu msafara wake uliokuwa Kigoma kupata ajali.

 Stori imekuwa kubwa na wengine wameipata taarifa hiyo tofauti na jinsi ajali iliyotokea., gari iliyopata ajali ni gari iliyokuwa imebeba Wasaidizi wa Makongoro Nyerere.. Gari hiyo imepinduka ikiwa kwenye mwendo wa kasi.
Watu walioumia ni wasaidizi hao pamoja na Mwandishi wa Habari mmoja.
20150606040817
Kama kuna kingine kitanifikia kuhusu hii ishu nitakusogezea muda wowote mtu wangu.
Wananchi wakiwa eneo la tukio ilipotokea ajali hiyo ya gari la Mhe. Makongoro Nyerere.Pole kwa wote walioumia kwenye ajali hii.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post