HIZI HAPA PICHA ZA ZAMANI ZA WATU MAARUFU DUNIANI,YUMO LOWASSA,OBAMA,KIKWETE ,KINANA,MUGABE,MKAPA....


Barack-Michelle-Obama-Young-Wedding-Dating-Photo-3
Nimekusogezea baadhi ya picha za zamani za watu maarufu duniani
Barrack Obama 


Winnie+Mandela+Nelson
Hayati Mzee Nelson Mandela na mama Winnie enzi hizo.
Barack-Michelle-Obama-Young-Wedding-Dating-Photo-3
Barack Obama na Michelle wake.. Zamani kabisa hapo kabla hata ya safari ya White House.
Mugabe2
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe
w12
Hayati J.K Nyerere na Mzee Mkapa
jakaya lowasa
Rais Kikwete na Mbunge Edward Lowassa
IMG-20150525-WA0017
Abdulrahman Kinana na Rais JK
IMG-20150602-WA0041
Hayati J. Nyerere

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post