ZIPO HAPA PICHA 25- MKUTANO MKUBWA WA CHADEMA LEO MJINI SHINYANGA,MAELFU WAJITOKEZA

Hapa ni katika viwanja vya Mahakama Nguzo Nane mjini Shinyanga ambapo leo jioni kumefanyika mkutano mkubwa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ukiongozwa na Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar ndugu Salum Mwalimu.Maelfu ya wakazi wa Shinyanga walijitokeza katika mkutano huo ulioenda sanjari na kuzindua program yao ya  "Changia Chadema" Kanda ya Serengeti ili Kushinda Uchaguzi mwaka 2015-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog
 Jukwaa kuu wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea katika viwanja vya Mahakama ambapo pia mbunge wa viti maalum Chadema mkoa wa Shinyanga Rachel Mashishanga(mbele kushoto) alikuwepo
Meza kuu wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea,kulia ni DJ Macksteve akifanya yake

Mkutano unaendelea

Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar ndugu Salum Mwalimu akiwahutubia wakazi wa Shinyanga ambapo alisema Viongozi wa CCM wamekosa umoja ndiyo maana mpaka sasa hawajaweka wazi kuhusu mgombea urais na kila mmoja anautaka urais

Mkutano unaendelea,wananchi wakifuatilia kwa umakini zaidi
 Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar ndugu Salum Mwalimu akizungumza katika mkutano huo
Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

Wananchi wakimsikiliza Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar ndugu Salum Mwalimu

 Wananchi wakimsikiliza Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar ndugu Salum Mwalimu
Mkutano unaendelea
 Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar ndugu Salum Mwalimu akizungumzia kuhusu mfumo wa Elimu nchini jinsi unavyoathiri maisha ya watanzania
 Maelfu ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la mkutano
Wananchi wakiwa eneo la tukio

Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

Mkutano unaendelea

Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zanzibar ndugu Salum Mwalimu akizungumzia kuhusu mpango wa kuchangia CHADEMA ili ishinde katika uchaguzi mwaka huu

Wakazi wa Shinyanga wakiwa kwenye mkutano

Wananchi wakiwa wamekunja ngumi

Waandishi wa habari na wadau wa Malunde1 blog wakiwa eneo la tukio

Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Patrobas Katambi akiwa na makamanda wa CHADEMA

Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Patrobas Katambi akiwa na makamanda wa CHADEMA

 Makamanda wa CHADEMA wakiwa kwenye viwanja vya Mahakama ya Mwanzo Nguzo nane-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post