STAR ALIYEENDESHA GENGE LA WAHUNI,ABURUZWA MAHAKAMANI KISA BANDA LA KAMALI!!

A woman is handcuffed in the Creative Media Institute production 'Ensuring Child Safety: In Abuse and Neglect Referrals.' (Submitted Photo) JAN13
Guo Meimei ni mmoja ya mastaa wakubwa kwenye social network China, jina lake limetajwa pia kuhusishwa na ishu iliyoibuka mwaka 2014 kwamba alikuwa anaendesha genge la wahuni waliokuwa wanachezesha kamali  bila kuwa na kibali.


Tumezoea kuona kwenye kurasa za mastaa wa kibongo kwenye mitandao ya kijamii wanaonesha nyumba zao, magari na utajiri wao.. hata Guo Meimei nae ni staa aliyekuwa anaishi maisha ya hivyohivyo China.
china
Guo Meimei
Alikamatwa kwa kosa la kufungua banda la kuchezesha kamali bila kusajiliwa, kesi iko Mahakamani na kama akikutwa na hatia basi hukumu yake huenda ikawa miaka 10 jela.

Guo ni maarufu sana China ambako wao wanatumia zaidi mtandao wa Sina Weibo ambao uko kama Facebook na Twitter… Kama ulidhani ishu ya kamali ni kitu kidogo Sheria ya China iko hivyo na hukumu yake !!

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post