NIMEKUSOGEZEA PICHA KIBAO KUTOKA NDANI YA ALL WHITE PARTY USIKU WA KUAMKIA LEO

Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City .
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini .
Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo.


Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.

Ndani ya ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam,All White Party
https://igcdn-photos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpa1/t51.2885-15/11189996_492074414272992_62272415_n.jpg

Hadija Kopa akifanya yake

Ray na Diamond

burudani kama kawa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post