TAZAMA VIDEO YA MSANII WA MWANZA "KUNDI WA MOTO",Wimbo "BAYOMBE"


Kama kawaida ya Malunde1 blog inaendelea kukuletea nyimbo kutoka kwa wasanii wa nyimbo za asili,leo nakukutanisha na mwanadada Kundi wa Moto kutoka Misungwi mkoani Mwanza,wimbo unaitwa "Bayombe"

Tazama hapa chini,upate burudani 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post