TAZAMA VIDEO YA BHUDAGALA MWANAMALONJA- Inaitwa "BHASOBHI",KUNA DADA ANATIKISA VITU HUMU BALAA!!


Nimekusogezea Ngoma nyingine ya Msanii mkali wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma Bhudagala Mwanalonja kutoka kanda ya ziwa inaitwa "Bhasobhi".Wimbo huu ni miongoni mwa nyimbo zake 6 mpya mwaka 2015 zinazopatikana katika albamu inaitwa "Mhunda".

Tazama Video hapa chini Uburudike mtu wangu,ni nzuri utaipenda

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post