ANGALIA PICHA ENEO LA MKUTANO WA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA HUKO ARUSHA!!

 
Muonekano wa  viwanja vya Sheikh Amri Abeid Arusha, maandalizi yakiendelea ambapo kesho Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, atakapoongea na  watanzania juu ya kutangaza nia yake ya kugombea kiti ha urais mwaka huu.

Kesho Jumamosi tarehe 30/05/2015, Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa atazungumza na watanzania kwenye viwanja vya Sheikh Amri Abeid Arusha kuanzia saa nane mchana.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post