Tukio la Ajabu !! WANAFUNZI WALIKUWA WANACHEZA JUKWAANI, MUZIKI UKANOGA,KILICHOFUATA NI STORI! VIDEO IKO HAPA!

stage 3 
 Ni yale matukio ambayo huwa hayajitokezi sana, imetokea Indiana Marekani ambako Wanafunzi walikuwa kwenye tamasha la muziki wa Rock shuleni, wachache ndio walikuwa wanatumbuiza lakini muda mfupi baadae baada ya muziki kunoga wengine wakaja kucheza nao kwenye stage.


Kilichofata ni stage kuzama baada ya kutoboka na kufanya Wanafunzi zaidi ya 12 kujeruhiwa ambapo hii video hapa chini ni ya mtu aliyekuwa anarekodi tukio zima na inaonyesha live jinsi ilivyotokea mpaka ikazama na Wanafunzi hao.
  

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post