Nimekusogesea hapa matokeo ya mchezo wa leo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara kati ya JKT Ruvu kutoka Pwani na Stand United ya Shinyanga uliofanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga jioni hii.
Dakika 90 za mchezo zimeisha kwa timu zote kufungana bao 1-1.
Mechi zijazo Stand United itacheza na Yanga na JKT Ruvu itacheza na Mtibwa Sugar.
Makocha wa timu zote mbili wamesema mchezo ulikuwa mzuri
Social Plugin