![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2UDM1MdXTuv5hIMciOzu6o_MQi4chauuh2bpSpXf43YlpPuXIHIJ7QPAW0y6qV1ubYZfHc-uW8hIapm0sHPbEozUEgTvpW6t3mtW78OC_dLpGb1wLee9Ook4PmbpIBAhtM5V65l8KPuQO/s640/MALEE.jpg)
Kama tulivyowaahidi kuwaletea nyimbo za wasanii wa nyimbo za asili kila weekend,tunaendelea kufanya hivyo ili kukonga nyoyo za wapenzi wa nyimbo hizo,safari hii tumekuletea wimbo wa Msanii Male J kutoka Ushirombo mkoani Geita na wimbo wake unaitwa "Chekecha".Ni Video moja kali sana hasa kwale wanaopenda kuona viuno vikizungushwa kama Feni.
Tazama Video hii hapa chini