Breaking News-BASI LA UNIQUE LAGONGANA NA LORI LA COCACOLA SHINYANGA LAUA WENGI
Wednesday, April 22, 2015
Kumetokea ajali basi la Unique Express lenye namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori la kampuni la Cocacola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga.
Watu 10 wamefariki dunia na majeruhi 50 wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin