KUTANA NA MAAJABU HAYA YA NYOKA AINA YA CHATU ANAYEPAPASA WATU,VIDEO IKO HAPA


Pythons-MassageMara nyingi mwili  ukichoka watu wengi wanapenda kufanya massage ili kuondoa uchovu, unaambiwa kuwa wageni wanaotembelea mji wa Cebu Zoo huko Philippines, wanafurahia  huduma mpya ya kufanya massage ambayo inatolewa na nyoka wanne aina ya chatu ambao huuzunguka mwili wote.


Ufanyaji massage kwa kutumia nyoka ni Biashara ambayo iko serious huku nyoka wanaotakiwa  kutoa huduma hiyo lazima wawe na urefu wa mita tano na uzito wa 250kg, biashara ambayo awali ilikuwa ikifanyika bure katika mji wa Cebu Zoo kabla haijawa maarufu na kutumiwa na watu wengi.

Msimamizi wa  mji huo Giovanni Romarate amesema wakati wanaanza biashara hiyo wageni walikuwa wanaogopa, lakini wengi waliojaribu waliipenda na sasa  hutolewa kwa kulipia na mchango  unaopatikana husaidia maendeleo katika mji huo.
article-0-1E0F9D1D00000578-840_634x356
Python-Massage (1)

article-0-1E0F9C4300000578-214_634x356
article-0-1E0F9D0400000578-296_634x356

deadly-python-massages-are-somehow-a-real-thing
imgsfuboSnake massage at Cebu City Zoo
Unaweza kutazama Video hiyo hapa kwa kubonyeza play mtu wangu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post