ANGALIA PICHA_MSANII BHUDAGALA MWANAMALONJA AKUSANYA MAELFU YA WAKAZI WA GEITA KATIKA SHOW YAKE
Monday, January 19, 2015
Hapa ni katika viwanja vya mji wa Kasamwa mkoani Geita ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita msanii wa nyimbo za asili Kutoka kanda ya ziwa Victoria Bhudagala Mwanamalonja aliangusha show/burudani babu kubwaa katika kuukaribisha mwaka mpya 2015 na wakazi wa Geita.Maelfu ya watu kutoka kila kona ya mkoa wa Geita walijitokeza.
Msanii Bhudagala Mwanalonja akitambulisha albamu yake mpya inayoitwa "Munda" katika viwanja vya mji wa Kasamwa mkoani Geita
Maelfu ya wakazi wa Geita wakifuatilia show ya Bhudagala Mwanamalonja
Wakazi wa Kasamwa Geita wakishuhudia Burudani kutoka kwa Msanii Bhudagala Mwanamalonja
Burudani inaendelea
Vijana wa sarakasi wakitoa burudani katika viwanja vya mji wa Kasamwa mkoani Geita
Bhudagala akitoa burudani
Burudani inaendelea
Wakazi wa Kasamwa Geita wakiondoka uwanjani baada ya show kuisha
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin