MAMA AAMUA KUWAUA WATOTO WAKE KWA KUWAKATA KOROMEO ETI KISA WANALIA LIA MFULULIZO

mamaMwanamke mmoja jijini Washington amehukumiwa adhabu ya kifo baada ya kujaribu kuwaua watoto wake watatu kwa kuwakata koromeo ili waache kupiga kelele.


Christina Booth baada ya kufanya unyama huo, aliwapigia polisi simu na kuwaambia kuwa wanawe hao wamekua na tabia ya kulia mfululizo bila kunyamaza kitendo kilichomkasirisha na kuamua kutenda kosa hilo.
murdePolisi baada ya kufika eneo la tukio aliwakuta watoto hao ambao mmoja ana miaka miwili na wengine mapacha wana miaka sita,wakiwa taabani na kuamua kuwakimbiza hospitali kabla ya kumweka mama yao ndani kutokana na kufanya unyama huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527